Kama Mwanasheria wangu umesema hivyo, Mimi nani hadi nipinge wakati sijui kifungu chochote cha Sheria 🤗Hilo Jina tu msiliogope
Hahahahahawe niamini tu humu watu wana mapesa mpaka wanaogopa wakiongozwa na Mjep makapuku ni jina tu kama majina mengine
Hahahahaha


Hapo ndugu mjumbe umefanya rejeo ya kifungu Kipi cha Sheria? Kumbuka nakutegemea wewe ujue![]()
![]()
By the way, I got you![]()

we endelea kunitegemea siwezi kukuangusha kabisaI'm real thankful 🙏we endelea kunitegemea siwezi kukuangusha kabisa
I'm real thankful![]()
Ngoja nitembee kifua mbele as nina mtu Kwa pembeni wa kusema Kwa niaba yangu
Raha ya kuwa na Wajukuu![]()



babu yangu wa mchongo bwanah 