Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,031
- 34,666
Kama bado upo Home ni bora uendelee kukaa tu....Kwa kweli,Swahiba leo mvua imeamua nataka kutoka naona ngumu
Huku nje hakufai.
Kama bado upo Home ni bora uendelee kukaa tu....Kwa kweli,Swahiba leo mvua imeamua nataka kutoka naona ngumu
Nilikua niende hospital kumuona mtu pale kona ya wazo ila kwa mvua hii sitokiKama bado upo Home ni bora uendelee kukaa tu....
Huku nje hakufai.
Nafurahi ukiwa unafurahi ,Swahiba..
vita huleta hofu na kuondoa furaha.
Hahaha DuhUmeachikaa nini?
BabeeeeeMiss you too auntie yangumambo ni mengi sana nashindwa hata mda wa kuingia humu
Salaam mkuu 🖐