Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,334
- 176,128
Aaaaah! Wivu kwenye hilo balaaa🤣Ni wivuu tu
Aaaaah! Wivu kwenye hilo balaaa🤣Ni wivuu tu
Acha uongo we mtoto!!!!Babee wangu roho yanguu najua umechoka
Acha tu babe nimechoka halafu Leo narudiBabee wangu roho yanguu najua umechoka
Hivi auntie una nini na huba langu
Yaani mnadanganyana huko nawaona![]()


Wenyewe ndio vitu tunapenda kudanganyana
Wanakuja we mzee kukujibuNani atakuwepo uwanja wa taifa VIP B
Hahahahaha..wewe leo hauji uwanjani?Wanakuja we mzee kukujibu
Mko na matatizo makubwa sana.Wenyewe ndio vitu tunapenda kudanganyana
Mimi sinaga mambo ya uwanjani naishia kuangalia kwa tv tu basiHahahahaha..wewe leo hauji uwanjani?
Mnajali bwana.Halafu hatujali wala niniiii
Ooh safi sana shangaziMimi sinaga mambo ya uwanjani naishia kuangalia kwa tv tu basi
HahahahahaHalafu hatujali wala niniiii
Me muoga uwanjani naogopa nisije nikaanguka na ugonjwa wangu wa moyoOoh safi sana shangazi
Hahahahaha...dahMe muoga uwanjani naogopa nisije nikaanguka na ugonjwa wangu wa moyo