Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Ukiona hivo ndoa inakaribiaaUsimzeeshe auntie yangu.
Ukiona hivo ndoa inakaribiaaUsimzeeshe auntie yangu.
Umeshibaa?He he mbona surprise![]()
Bro niajePamoja sana mzee nyangema
ShwariPoa moud za wewe

Kiongozi za masikuShikamoo
Fresh, vipi ndugu yangu?Bro niaje
Shwari mzeeFresh, vipi ndugu yangu?
Waaapi 🤣Kikubwa tunaelewana auntie
Unachokitafuta utakipataEbu niache basi![]()
Natuma na hautumi🙆🙆🙆Tuma telemoney yako
🤣🤣🤣🤣Ukiona hivo ndoa inakaribiaa
Babe❤️Fresh, vipi ndugu yangu?
Wala hata sijashibaUmeshibaa?
Waaapi![]()



Unaniharibia na mahusiano yangu sugu kwako unabembeleza ebu niache na huba langu
Hili husiano hata mwamposa haliwezi🤣🤣Unaniharibia na mahusiano yangu sugu kwako unabembeleza ebu niache na huba langu
Uko mpweke hata hivyo, kwahiyo hakuna ninachoharibu😜Kwangu unaniharibia ili niwe mpweke
Ndio tunapendana hivyohivyoUko mpweke hata hivyo, kwahiyo hakuna ninachoharibu
We husiano gani halieleweki mara lizimike mara liwake, taabu tupu. Hata umeme wa tanesco angalau una ratiba.


Huku sio kupendana, ni kuwa confused 🤣🤣Ndio tunapendana hivyohivyo![]()