Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,241
- 90,417
Niwatakie Ijumaa Njema
Hahahahahahaha wape nafasi..magazeti asubuhiMnaturingishia na wapenzi wenu badala ya kutuletea story za magazetini.
Sasa jioni hii nimekaa nasubiri wajua najua. Naona watu wanabebishana wanataka tufe kwa wivu au.Hahahahahahaha wape nafasi..magazeti asubuhi
Hahahahahaha. Bana wee ..yaani watuonee huruma..waweke je wajua walau tujisomeeSasa jioni hii nimekaa nasubiri wajua najua. Naona watu wanabebishana wanataka tufe kwa wivu au.
Sasa jioni hii nimekaa nasubiri wajua najua. Naona watu wanabebishana wanataka tufe kwa wivu au.


naweka mda wowote🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mnaturingishia na wapenzi wenu badala ya kutuletea story za magazetini.
🤣🤣🤣🤣 na bado!!Sasa jioni hii nimekaa nasubiri wajua najua. Naona watu wanabebishana wanataka tufe kwa wivu au.
Kwendaaaa😏ndio maana auntie yangu mzuri mzuri nakupenda mimi ujue unanielewa sana
HahahahahaSomeni mahaba kwanza maana Shunie anatuwekea akijisikia. Asipojisikia ni kubebishana tu na hili jambazi lake.
Ni wivuu tuUko mpweke hata hivyo, kwahiyo hakuna ninachoharibu
We husiano gani halieleweki mara lizimike mara liwake, taabu tupu. Hata umeme wa tanesco angalau una ratiba.
Sauti haitoshiiNdio tunapendana hivyohivyo![]()
Babee wangu roho yanguu najua umechokandio maana auntie yangu mzuri mzuri nakupenda mimi ujue unanielewa sana