xavia jr
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 916
- 1,905
Mungu anasaidia yanasonga.poa mambo yanaendaje?
Mungu anasaidia yanasonga.poa mambo yanaendaje?
My dear nianzie na za asubuhi, za mchana na za mda huu bila shaka upo poa kama mimi..Nikutakie siku njema..Luv u more kabisa..
jambo la kushukuru kama mambo yanaenda boss....tunapambana tuhuku poa, niaje?
ndo mwisho wa reli huko mkuu??
mambo ya BRN hayo
Ndo central penyewe nn apo pezda!!?
Hujambo na karibuView attachment 350855
Angalia picha hii na kama umeielewa elezea jinsi ulivyoelewa maana ina maana zaidi ya moja.
Picha hyo nadhan best employee ange kaa huko ilko managementView attachment 350855
Angalia picha hii na kama umeielewa elezea jinsi ulivyoelewa maana ina maana zaidi ya moja.
Miss u more dear LinamoMiss you
Nadhani inaonyesha uongozi uko kwenye risk kubwa sana ukilinganisha na mwajiriwa...Na kwa namna yeyote wanategemeana ili wote wawe safe side..View attachment 350855
Angalia picha hii na kama umeielewa elezea jinsi ulivyoelewa maana ina maana zaidi ya moja.
Tulikuwa busy mbayaaaUtulivu wenu nimeupenda leo
Majukumu mkuu yalibanajtano ya leo imekumbwa na ukimya kwel kwel