Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
Aaahkwema boss...
Na mi niko mbungi kama kawa
Aaahkwema boss...
Hahahajtano ya leo imekumbwa na ukimya kwel kwel
NA KWELIHahaha
Safi
Tuta fanya kazi(in magu's voice)
vp huyo MOUH hawajamtangaza official???Aaah
Na mi niko mbungi kama kawa
Mou kwa kweli lei nadhan ndi wata kamilisha kuna kitu kina itwa image rights ndo ilibid kiwe settled kisheria kodogovp huyo MOUH hawajamtangaza official???
daah bora maana nimechoka na speculation zao...aingie mzigon aanze kuingia sokoni chap chap asuke timu upyaMou kwa kweli lei nadhan ndi wata kamilisha kuna kitu kina itwa image rights ndo ilibid kiwe settled kisheria kodogo
Ila makubaliano ya msingi hasa ya kimaslahi tayari
kwema kiongoz...za huko ulikohabari za mchana
Hahahdaah bora maana nimechoka na speculation zao...aingie mzigon aanze kuingia sokoni chap chap asuke timu upya
hahahhahah nasubiri kauli ya rafik ake baba KAIHahah
Na kweli nadhan by kesho au kesho kutwa atakiwa ashatangazwa , ili mambo mengne yaendelee
Maana de gea anadai jamaa kampigia cm na kumwambia abaki na kamuahid makombe ata ya beba mengi tuu
HahahaMe nipo hapa nashilingi,
![]()
![]()
![]()
huku poa, niaje?kwema kiongoz...za huko uliko
niaje ni vp bosshuku poa, niaje?
poa mambo yanaendaje?niaje ni vp boss