TANZANIA
DR CONGO 
23:00
Amadou Gon Coulibaly
“Hapa Liverpool wanafanya kazi ya usajili katika njia ya kipekee kabisa. Kabla ya kusajili tunafikiria mara mbili, tatu hadi nne. Unahitaji kuwa na uhakika wa kila kitu kwamba mchezaji huyo atakuja kufanya vizuri.
GUINEA
0-2 SENEGAL
️ 61” Seck
️ 90” Ndiaye
GAMBIA
2-3 CAMEROON 
️ 72” Jallow
️ 85” Colley
️ 56” Ekambi
️ 87” Gomez (og)
️ 90+1” Wooh
Senegal __________Pts 9
Cameroon________Pts 4
Guinea __________Pts 4
Gambia __________Pts 1
Hahahahaha leo sijui niwe upande gani katika hii mechiSTARS VITANI AFCON LEO
.
TANZANIA
DR CONGO
23:00
Amadou Gon Coulibaly
.
Huu ni mchezo mgumu lakini Taifa Stars wakipambana vyema Ushindi unawezekana. Katika mashindano haya safari hii hakuna timu ndogo ni kujipanga tu hivyo kwa upande wetu, tunachohitaji ni ushindi ili tuweze kuingia katika hatua ya 16 Bora. View attachment 2881146
Wapi hii Mkuu