Ugumu wa maisha, misongo ya mawazo nadhani vinachangia..kuna haja ya kufanyika kitu..ukichukua magazeti ukasoma habari za mikoani ktk mikoa kumi hukosi habari ya mauaji ktk maeneo tofauti na visa tofauti