Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,332
- 176,114
Kwahiyo uko likizo🙆🙆🙆Hii likizo iishe tu nimekuwa mvivu mpaka kupost makapukunahisi na makapuku nimepata likizo
Kwahiyo uko likizo🙆🙆🙆Hii likizo iishe tu nimekuwa mvivu mpaka kupost makapukunahisi na makapuku nimepata likizo
Shemejiiii naomba 6 tu.
Wacha weeeeh![]()
naomba niletee hivyohivyo na maua
Sasa wewe unafikiri ukifanya siri nauli utatoa wapi? Tumdanganye tu tunarudi mwakani kumbe ndio nitolee hiyo![]()
au nauli tukamwambie yule mleta thread atulipie tutamlipa tukifika
Eenh likizo ya ujoblessKwahiyo uko likizo![]()

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣naomba niletee hivyohivyo na maua
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 huo ni mtegoau nauli tukamwambie yule mleta thread atulipie tutamlipa tukifika
Njoo nikupe kazi wakati unatafuta kazi. Ila haina mshahara.Eenh likizo ya ujobless![]()



Jamani jamani...
Njoo nikupe kazi wakati unatafuta kazi. Ila haina mshahara.


Nani afanye kazi haina mshahara bora niishi na ujobles wangu
Jamani jamani...
Anyways...Vile itaenda Auntie...
Tulia.


Auntie mahela na mauwa yakeUna ndoto za ajabu auntie🤣🤣🤣🤣Sasa unacheka niniii niletee hivyohivyo mahela na maua yake![]()
Njoo uoshe vyombo bwanaNani afanye kazi haina mshahara bora niishi na ujobles wangu
🤣🤣🤣🤣🤣 weeeh!! Tukaoshe makalio wazeeTutamlipa bwana tukifika si tunatafuta kazi
Bora ndoto zangu za kitajiriUna ndoto za ajabu auntie![]()


wewe lete auntie kwani hizo si laki 5 au laki mbili
Kazi ya kuosha vyombo siipendiNjoo uoshe vyombo bwana
toka nipo mdogo mpaka sasa na uzee wangu jamani sipendi kuosha vyombo mimi
weeeh!! Tukaoshe makalio wazee


Sasa jeee si ndio kazi zipo uko za kulea wazee na kuwabadilisha diaperNdio uotee kwenye wallet yangu? Kenge we🤣🤣🤣Bora ndoto zangu za kitajiriwewe lete auntie kwani hizo si laki 5 au laki mbili