Maroon ni nzuri mno...Maroon ni nzuri nilimuona nayo mtu. Nilikuwa na red ndogo yake.
😊Ndiyo haiwezekani...
🤣🤣🤣🤣 si tulishakubaliana unachovuta uache au?Najua hata basi..
Yaani dagaa na ugaliChakula changu pendwa
Auntie hiyo red ndogo naiomba basiMaroon ni nzuri nilimuona nayo mtu. Nilikuwa na red ndogo yake.
Bora nimlambe makofi🤣Ipo siku utakutana naye
Na mlenda au majani ya maboga 😋😋😋Yaani dagaa na ugali
Ndio maana nimesema "nilikuwa nayo" ilishabebwa na binti yangu🤣Auntie hiyo red ndogo naiomba basi
Binti yanguNdio maana nimesema "nilikuwa nayo" ilishabebwa na binti yangu
🤣🤣🤣🤣Binti yanguebu huyo mbibi mtoe kwa avatar