Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Shindano kubwa la kusaka vipaji la Bongo Star Search ambalo mwaka huu linatimiza miaka 17 toka kuanzishwa kwake limetangaza kurudi kusaka vipaji kwenye Mkoa wa Kigoma ikiwa ni miaka 14 imepita toka lifanye msako kwenye Mkoa huo.
Hayo yamesemwa na Chief Judge Madame Rita ameyasema haya wakati akitangaza ratiba ya BSS 2023 ambapo Timu hiyo itakuwepo Kigoma October 28 na 29 baada ya kutoka Arusha watakakokuwa October 7 -8, Mwanza October 14-15, Mbeya October 21-22 na Dar es salaam November 3, 4 na 5.
@MsRitaPaulsen amesema vipaji, vitimbi na viroja vya msimu huu wa 14 vitakua vikioneshwa kwenye Chaneli ya STARTIMES SWAHILI kwenye kisimbuzi cha @startimestz kila siku za Jumapili saa tatu usiku na vionjo vitaoneshwa kila Jumatatu, Jumatano na Ijumaa ikiwa na kauli mbiu ya "Kipaji chako mtaji wako"

STRAIKA wa zamani wa Simba na Yanga aliyetupiwa virago vyake msimu huu na Singida Big Stars aliyoipandisha Ligi Kuu na kuichezea msimu uliopita, Amissi Tambwe amesema ameuandikia barua uongozi wa klabu hiyo akiupa siku saba ili ukamalishe madai yake kabla hajatimkia Shirikisho la Kimataifa la Soka (FIFA) kushtaki
AL MERREIKH Vs YANGA SC 
16:00
Pele Stadium
REKODI ZA MNYAMA KIMATAIFA.