Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,493
- 176,572
🤣🤣🤣🤣🤣Umeamua kutuharibia si ndio unamjua huyo![]()
Bora tukose wote
🤣🤣🤣🤣🤣Umeamua kutuharibia si ndio unamjua huyo![]()
Sitaki kuulizwa na sitaki kusema🤣🤣🤣Ukiona mtu mzima analia mbele za watu ujue kuna jamboootukuulize unacholilia au utatuambia mwenyewe
Afadhali..urudi kwa kweli...Salama tu maki...nimerudii![]()

🤣🤣🤣🤣eenh we fanya uje ule na kunywa soda na maji urudi kijijini kwako na pochi
🤣🤣🤣🤣 hana huo ubavuAuntie usitufanyie hivi ujue unamjua Lee![]()
Sikuachiiii, sema unamuibia nani?Niache
Basi acha tukupe pole baada ya kumuona pampula wako hauamini kama ni yeye ulijua harudi si ndioSitaki kuulizwa na sitaki kusema![]()

Kwanini soda na maji lakini?
Sasa hunywi pombe utakunywa nini zaidi
We sema tu ngoja ajeehana huo ubavu
Auntie unataka kikuu aone hii comment anisimangeeee🙆🙆🙆Basi acha tukupe pole baada ya kumuona pampula wako hauamini kama ni yeye ulijua harudi si ndio![]()
Sparleta 🤣🤣🤣🤣Sasa hunywi pombe utakunywa nini zaidi
Auntie unataka kikuu aone hii comment anisimangeeee![]()

Maji na sodaSparleta![]()
sparleta zipo badoSparleta sio soda wala maji auntie🤣🤣🤣Maji na sodasparleta zipo bado
Mweeeh nini eti auntieSparleta sio soda wala maji auntie![]()
Ni kinywaji🤣🤣🤣Mweeeh nini eti auntie