Kuna watu wa kuwa hivo ila sio hicho kiumbeNinachojua we auntie yangu haupo single
Kabisa Auntie....
Huyo ndugu yako akale anapokulaga
Namba yako si ile ileDada yangu peke yangu
Shikamoo dada.
Anajifichaga kama Bangi huyo mtu wakoNilikwambia ukija dar panga tuonane na auntie maki tutakutana kijiwe mishikaki
Kwani pombe inavutwa?Halafu Lee hanywi pombe kabisa hata harufu haipendi kabisa kuisikia
Nawapiga na kreti mbili za heinkeniiiiiiAuntie ebu basi tupange basi hata mwezi wa 10 mwanzoni tukae basi tule tulewe maisha ndio hayahaya ujue au tukale mbuzi sinza kumekucha ebu chagua basi
🤣🤣🤣🤣Inategemea ...
Kona ya wapi Shem lake?Nipo kona ...nikupitie?
Dm yako siijibu shemKwani pombe inavutwa?
Sasa hapo hanywi pombe yuko hivyo, je akinywa?
Sasa pochi masharti na vigezo kuzingatiwa tuonane tukiwa na wewe nimpeAnajifichaga kama Bangi huyo mtu wako
Kwani pombe inavutwa?
Sasa hapo hanywi pombe yuko hivyo, je akinywa?
Sasa unakuwa single Auntie Surely!!!Labda ukopenda tu ukasema Acha "niji'love me"Ninachojua we auntie yangu haupo single
Sasa unakuwa single Auntie Surely!!!Labda ukopenda tu ukasema Acha "niji'love me"
Hiyo weka tick...Nitakupeleka Chimbo moja zuri sana Auntie..kuna nyama za kila aina...Auntie ebu basi tupange basi hata mwezi wa 10 mwanzoni tukae basi tule tulewe maisha ndio hayahaya ujue au tukale mbuzi sinza kumekucha ebu chagua basi