Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Sep 12, 2023 #420,741 Atoto said: Wooooi ndio maana nakwambia unachovuta achaa. Click to expand... Poa
Makiwendo JF-Expert Member Joined Aug 12, 2015 Posts 10,031 Reaction score 34,667 Sep 12, 2023 #420,742 Shunie said: Auntie unaogopa na wakati picha zimesambaa ukooo Click to expand... Sitaki kukumbuka zile nyakati.. Tumekuwa watu wa Amani tu sasa hivi...
Shunie said: Auntie unaogopa na wakati picha zimesambaa ukooo Click to expand... Sitaki kukumbuka zile nyakati.. Tumekuwa watu wa Amani tu sasa hivi...
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Sep 12, 2023 #420,743 Atoto said: hivi kikuu hizo dread umetoka nazo wapi? Click to expand... Auntie usikute katumiwa picha kaambiwa huyo mwenye dread ndio wewe unafanya mchezo na jf
Atoto said: hivi kikuu hizo dread umetoka nazo wapi? Click to expand... Auntie usikute katumiwa picha kaambiwa huyo mwenye dread ndio wewe unafanya mchezo na jf
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,488 Reaction score 176,550 Sep 12, 2023 #420,744 Lee said: Unamkoseaa Click to expand... 🤣🤣🤣🤣
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Sep 12, 2023 #420,745 Atoto said: Kunipa raha. Click to expand... Angekuwa anakupa vizuri hicho kichwa kuisingekuwa na weenge namna hiyo
Atoto said: Kunipa raha. Click to expand... Angekuwa anakupa vizuri hicho kichwa kuisingekuwa na weenge namna hiyo
Makiwendo JF-Expert Member Joined Aug 12, 2015 Posts 10,031 Reaction score 34,667 Sep 12, 2023 #420,746 Shunie said: Karibuni jamanii naona tuna wageni Leo auntie karibisha wageni Makiwendo Click to expand... Naomba uniache Auntie...Nimechoka
Shunie said: Karibuni jamanii naona tuna wageni Leo auntie karibisha wageni Makiwendo Click to expand... Naomba uniache Auntie...Nimechoka
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Sep 12, 2023 #420,747 Makiwendo said: Sitaki kukumbuka zile nyakati.. Tumekuwa watu wa Amani tu sasa hivi... Click to expand... Tunamshukuru Mungu kwakweli wamesambaziana picha weeh mpaka wamechoka
Makiwendo said: Sitaki kukumbuka zile nyakati.. Tumekuwa watu wa Amani tu sasa hivi... Click to expand... Tunamshukuru Mungu kwakweli wamesambaziana picha weeh mpaka wamechoka
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Sep 12, 2023 #420,748 Shunie said: Auntie usikute katumiwa picha kaambiwa huyo mwenye dread ndio wewe unafanya mchezo na jf Click to expand... Huyu namjua vzuriii na magauni yake ya maua maua
Shunie said: Auntie usikute katumiwa picha kaambiwa huyo mwenye dread ndio wewe unafanya mchezo na jf Click to expand... Huyu namjua vzuriii na magauni yake ya maua maua
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Sep 12, 2023 #420,749 Makiwendo said: Naomba uniache Auntie...Nimechoka Click to expand... Auntie sio vizuri ujue
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Sep 12, 2023 #420,750 Lee said: Huyu namjua vzuriii na magauni yake ya maua maua Click to expand... Nyieeeeee
Makiwendo JF-Expert Member Joined Aug 12, 2015 Posts 10,031 Reaction score 34,667 Sep 12, 2023 #420,751 Lee said: Shangazi shikamoo Click to expand... Shikamoo Mkuu... Umemuona Baby wako lakini?
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Sep 12, 2023 #420,752 Makiwendo said: Shikamoo Mkuu... Umemuona Baby wako lakini? Click to expand... Picha niliweka mimi wala usisumbue kichwa
Makiwendo said: Shikamoo Mkuu... Umemuona Baby wako lakini? Click to expand... Picha niliweka mimi wala usisumbue kichwa
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,488 Reaction score 176,550 Sep 12, 2023 #420,753 Shunie said: Auntie usikute katumiwa picha kaambiwa huyo mwenye dread ndio wewe unafanya mchezo na jf Click to expand... 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kwakweli, maana kanikazania kweli na dread!!!
Shunie said: Auntie usikute katumiwa picha kaambiwa huyo mwenye dread ndio wewe unafanya mchezo na jf Click to expand... 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kwakweli, maana kanikazania kweli na dread!!!
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,488 Reaction score 176,550 Sep 12, 2023 #420,754 Lee said: Angekuwa anakupa vizuri hicho kichwa kuisingekuwa na weenge namna hiyo Click to expand... Na upole wote huu😳😳😳
Lee said: Angekuwa anakupa vizuri hicho kichwa kuisingekuwa na weenge namna hiyo Click to expand... Na upole wote huu😳😳😳
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Sep 12, 2023 #420,755 Lee said: Picha niliweka mimi wala usisumbue kichwa Click to expand... Ndio maaana nakupenda mimi
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Sep 12, 2023 #420,756 Atoto said: Na upole wote huu Click to expand... Haya babe
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,488 Reaction score 176,550 Sep 12, 2023 #420,757 Makiwendo said: Naomba uniache Auntie...Nimechoka Click to expand... 🤣🤣🤣🤣 Unachokaje na haujapika!! Njaa inauma.
Makiwendo said: Naomba uniache Auntie...Nimechoka Click to expand... 🤣🤣🤣🤣 Unachokaje na haujapika!! Njaa inauma.
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Sep 12, 2023 #420,758 Shunie said: Ndio maaana nakupenda mimi Click to expand...
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Sep 12, 2023 #420,759 Atoto said: Kwakweli, maana kanikazania kweli na dread!!! Click to expand... Jf hapana kuna mambo yaweza kuendelea wewe muhusika hata huyajui jamaniii unabaki kushangaa na kucheka
Atoto said: Kwakweli, maana kanikazania kweli na dread!!! Click to expand... Jf hapana kuna mambo yaweza kuendelea wewe muhusika hata huyajui jamaniii unabaki kushangaa na kucheka
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,488 Reaction score 176,550 Sep 12, 2023 #420,760 Shunie said: Tunamshukuru Mungu kwakweli wamesambaziana picha weeh mpaka wamechoka Click to expand... Namimi naiomba hiyo picha, haiwezekani!!
Shunie said: Tunamshukuru Mungu kwakweli wamesambaziana picha weeh mpaka wamechoka Click to expand... Namimi naiomba hiyo picha, haiwezekani!!