YaaaniIla jina limekaa kiwakiii!! Alieliandika sijui aliwaza nini
Shunie akee, mtoto kanizimia mimi ujue jalafu we unamrushia njiwa wangu kwa mtu mwingine.
Hapo nimefika, kigoma mwisho wa reli. 🤣Huyo ni chaguo lako maka akee
Wanafeli, Kama ni darasani basi ni sifuri yenye kuwekewa na masikio. 🤣Ndio wanavyojua
Linafanya watu kuliogopa jukwaa. Maana nani anautaka ukapuku eti🤣🤣🤣Yaaaniwatu wanaliogopa
NENO LA LEO.
ukitaka kuona umuhimu wa matako, jaribu kukalia kichwa.
Linafanya watu kuliogopa jukwaa. Maana nani anautaka ukapuku eti
Maneno huumba.
Ila mlikuwaga na motooo na visiraniii
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Auntie nitake radhi bwanah baby wangu ni Lee atabaki kuwa lee
Naomba usinipe watu wengine niliyenaye ananitosha
Auntie nimeelewa! Zingatia maokoto.