Makapuku Forum

Makapuku Forum

...naam, naam naam, tunatofautiana na ikitokea ukanikuta natazama movie jua kabisa utanikuta nimeweka subtitles on. Wewe unayeweza kuangalia movie ya kiinglish bila subtitles on, hongera, mimi bado nina mashaka na maneno ya kusikia yanayochanganya kama mkataba wa bandari.

 
Magazeti ya leo July 29, 2023.
Screenshot_20230729_064223_Opera%20Mini.jpg
 
"Tulimsajili Emile Heskey kwa pauni milioni 11, Arsene Wenger alimsajili Thierry Henry kwa pauni milioni 11. Tulimsajili Nick Barmby kwa pauni milioni 6, Arsenal wakamsajili Robert Pires kwa pauni milioni 6. Wenger alikuwa gwiji katika soko la usajili." alisema Jamie Carragher kuhusu tofauti kati ya Liverpool na Arsenal.
Screenshot_20230730_072536_Instagram.jpg
 
Kuna siri kubwa mashabiki hatujui, Sijui walifanywa nini na Yanga hawa watu,yani sura zao zinaonyesha ni kama wamepata tumaini jipya kwenye maisha yao mapya ya soka ndani ya Azam, kama wametua mzigo mzito uliowaelemea kabla!

Tuambie wewe unaonaje?
Screenshot_20230730_072640_Instagram.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom