Doh!!!..huyo Raia ni nani kwanza?Unajua mtu anakuwekea thread humjui hujawahi kuona I'd yake hujawahi chat naye sawa ni muhenga lakini profile yake hana thread hata moja zaidi ya hizo za shunie huoni kuna kitu hapo auntie
Nimefurahi Swahiba kuwa na Thread JFHahaha haha,umecheka nn
Tena auntie alisifiwa bwana acha tuDoh!!!
Mimi sikuuona...Kumbe Swahiba wangu huyu ana Uzi wake huku...
Hata kumjua simjui mimiDoh!!!..huyo Raia ni nani kwanza?
Hahaha,kwanza siezi fanya hivi hata iweje,usihofu
Tulia kwanza Swahiba..
Hahaahaha,alisifia mtu asiyemjuaTena auntie alisifiwa bwana acha tu
Ile misifio mbona kama mlikuwa mnajuana we mzeeHahaahaha,alisifia mtu asiyemjua
Hahahahaha,Nimefurahi Swahiba kuwa na Thread JF
Hapana hanijui ,simjuiIle misifio mbona kama mlikuwa mnajuana we mzee
Ile misifio mbona kama mlikuwa mnajuana we mzeeHahaahaha,alisifia mtu asiyemjua
Sema kweli we mzeeHapana hanijui ,simjui
Hapana ,hanijui kabisa ,na mimi simjui kabisa,Ile misifio mbona kama mlikuwa mnajuana we mzee
Oooh hayaHapana ,hanijui kabisa ,na mimi simjui kabisa,
Kweli shangaziSema kweli we mzee
Mie humu JF wananijua wale wakongwe wa enzi za JF get together partOooh haya