Kupindi kile ulkinywa maji unaniona kwenye majiiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bwana kuna thread uliniandikia sijui mwaka 2017 corasco alienda kufukua makaburi jamani nimekuja makapuku kucheka kumbe na me jf nilishawahi wekewa thread
Hivi cocs magazeti gani ya usiku uwe unakuja asubuhi panda juu utakutana nayo ya leo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Post magazetiii dear [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ili iweje we mzee tulia ila kaa ukijua Lee alishaniandikia thread [emoji23]Nipe link ,sijabahatika kuisoma
[emoji23][emoji23][emoji23] Ebu tuliaKa nitag dear, umbea unanipitajee hivyoooo?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23] Acha kabisaaaaKupindi kile ulkinywa maji unaniona kwenye majiiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa asubuhi nakua nmemkumbatia baba tamuu, na kumuandaa awahi kazini, uwiiiiihHivi cocs magazeti gani ya usiku uwe unakuja asubuhi panda juu utakutana nayo ya leo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kanitag awee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ebu tulia
[emoji23][emoji23][emoji23] Baba tamuuuu huyu Brian nani sijui au[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa asubuhi nakua nmemkumbatia baba tamuu, na kumuandaa awahi kazini, uwiiiiih
Ndoa imempata muhitajii mweeeeh
Ili ukaanze kumekuchaaaa [emoji23][emoji23] nakujua vizuriKanitag awee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kipindi kile pilatus linapikwaaaa[emoji23][emoji23] Acha kabisaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23] chizi wewe hata sasa hivi ukitaka unapikiwa hivi ex babe katika kitu huwezi sahau ni pilau langu eenh naona unakutana na mataptaptap ukoKipindi kile pilatus linapikwaaaa
Hahahahaha falaaaa...huku ni masotojoooo kwa kwenda mbeleeeee...ila na lako limoooo[emoji23][emoji23][emoji23] chizi wewe hata sasa hivi ukitaka unapikiwa hivi ex babe katika kitu huwezi sahau ni pilau langu eenh naona unakutana na mataptaptap uko
[emoji23][emoji23][emoji23] Aah wapiii najua umelimiss pilau la mkono wangu ebu siku uje tu nikupikie hakuna namnaHahahahaha falaaaa...huku ni masotojoooo kwa kwenda mbeleeeee...ila na lako limoooo
Kwaniiii kusimama vileeeee hukumbukiiii
cocastic magazeti hayo ya leoMagazeti ya leo June 12, 2023View attachment 2654604
Taratibuuu bhasiiiiii[emoji23][emoji23][emoji23] Aah wapiii najua umelimiss pilau la mkono wangu ebu siku uje tu nikupikie hakuna namna
Hapo kwenye kusimama hapo ebu ongea taratibu basi
[emoji23][emoji23][emoji23] NiacheeeeTaratibuuu bhasiiiiii
Hahahaha, sawq sawaIli iweje we mzee tulia ila kaa ukijua Lee alishaniandikia thread [emoji23]
Silvio Berlusconi amefariki dunia. Alikuwa Waziri Mkuu mstaafu wa Italy. Katika siasa za kileo za Italy ndie Waziri Mkuu aliyekaa muda mrefu zaidi madarakani. Anaaminika kufanya mabadiliko makubwa katika siasa za Italy.
Katika uongozi wake Beluscon alikumbwa na kashfa mbalimbali ikiwemo rushwa,kufanya sex party pamoja na kuwa kwenye mahusiano na mwanamke mwenye umri mdogo na kuhukumiwa kifungo cha jela hata hivyo hakutumikia kifungo hicho kutokana na kuwa na umri mkubwa.
Belusconi alikuwa tajiri wa kutupwa huko Italy ndie alikuwa mmiliki wa klabu ya mpira ya AC MILAN na kampuni kubwa la uwekezaji la Fininvest. Beluscon ana utajiri unaokadiriwa kufikia Shilingi Trilioni 15 za Kitanzania.
Belusconi amefariki akiwa na umri wa miaka 86. Belusconi ameacha mjane,Marta Fascina ambaye ana umri wa miaka 33, waliowana mwaka jana...!View attachment 2655444