Wananchi wanatinga fainali ya Azam Sports Federation Cup kwa msimu wa pili mfululizo, msimu uliopita walichukua ndoo mbele ya Coastal Union ya Tanga, msimu huu watacheza dhidi ya Azam FC kwenye uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Watachukua tena?
Dogo anajitahidi sana maaana hakuna mechi ambayo dogo kacheza na mashabiki wakasema yes tumemic haaland,ki ukwel anakaz sana kuwa backup ya striker kama haaland na unaonyesha kiwango kizur tu