WANAMKANDA
.
10—FRANK Lampard sasa amepoteza mechi zote 10 zilizopita alizokuwa madarakani katika michuano yote. Yeye ni kocha Muingereza wa kwanza kupoteza mechi 10 mfululizo akiiongoza timu ya EPL tangu Arthur Cox alipofanya hivyo Februari 1988 akiwa na Derby.