National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
Kweli kweli.. ya kweli boss lady. Hili sio utani maana kuna watu humu wanaifahamu familia yangu yani mie na mke wangu hata siku ya ndoa kuna wana jf kadhaa walikuwepoBaba Two!!!!
Ya kweli haya au niyaache kama yalivyo?[emoji1]
Aaaaaaah!!!!Kweli kweli.. ya kweli boss lady. Hili sio utani maana kuna watu humu wanaifahamu familia yangu yani mie na mke wangu hata siku ya ndoa kuna wana jf kadhaa walikuwepo
Asante sana sister boss lady 😊😊Aaaaaaah!!!!
Sasa mbona Dadako hukunialika?
Haiyaaa.....Hongera sana.
Mungu ni mwema..Mtatoboa..Asante sana sister boss lady [emoji4][emoji4]
Nasubiri tukitoboa miaka mitatu kwenye anniversary nitakualika… tusipotoa basi
Amen 🙏Mungu ni mwema..
Mtatoboa...Yote yawezekana kwake yeye aaminiye..
Hongera ya nini kwani ameoa au ndio baba two National AnthemAaaaaaah!!!!
Sasa mbona Dadako hukunialika?
Haiyaaa.....Hongera sana.
Amewowa eti Auntie[emoji28]Hongera ya nini kwani ameoa au ndio baba two National Anthem
Ngoja na me nimpe hongera yangu auntie kaoa kwelikweli au mambo za jfAmewowa eti Auntie[emoji28]
Yaaaani...Ngoja na me nimpe hongera yangu auntie kaoa kwelikweli au mambo za jf
[emoji1787][emoji1787] Kwahiyo ndoa imejibu basi hongera zake sanaYaaaani...
Ndiyo kasema hivyo leo hapa Makapuku...Sasa sijui ni kweli au mambo yao vijana hawa.[emoji1]
Watoto kuna uzi huko niliona anapewa hongera ya kupata Mapacha.