Farhan Jr
Wakati Achraf Hakimi anapongezwa sana ila yupo Mtalaam mwingine anaitwa CRISTIANO RONALDO, yeye watoto watatu wa mwanzo aliwapata kwa mkataba maalum na Wanawake aliozaa nao, unalipwa pesa yako unasaini mkataba kuwa ukishazaa unapoteza haki zote na mtoto ni wa Ronaldo.
Kifupi ni kuwa baada tu ya kujifungua basi Mama yake Ronaldo anabeba Mjukuu wake na safari ya Ureno inaanza ya kwenda kumlea Mjukuu wake, wala hakuna mjadala mwingine
Watoto aliopata sasa kwa Georgina ni kuwa hawapo kwenye ndoa ni Wapenzi tu, hata wakiachana suala la child support sio zito kwa Ronaldo, ndio maana hata Georgina ametulizana sana anasikilizia.
Nyuma ya Hakimi kuna Mama yake Mzazi na nyuma ya Ronaldo pia kuna Mama yake Mzazi.
Wakina Mama wanawajua sana Wanawake wenzao! Watoto wa MamaView attachment 2588168