Makapuku Forum

Alaf Shunie naomba unisaidie jambo moja, kuna Uzi nautafuta sana. Kuna jamaa anaelezea Mzee wake alifariki, yeye akarudi home kukaa na mama yake. Baada ya muda kuna Mali akauza ili apate ada ya kuendelea na masomo. Mama yake alipojua, akamwambia aondoke home, jamaa akaenda Njombe (nahisi alikuwa mwalim pia).

Kama umeijua, naomba unitag au unitajie jina
 
Dooh mbona sijawahi kukutana na hii thread ikitokea nimekutana nayo nitakuita au ngoja nimuite auntie Makiwendo huyu mtembeaji anaweza kuijua

Unajua me sio mtembeaji zaidi ya makapuku au entertainment kwenye story sehemu zingine inatokea tu bahati mbaya hiyo siku nipo majukwaa mengine
 
Imagine Auntie na mimi ndiyo nausikia hapa...
Sijawahi hata kuuona au kuusoma...

Analyse ni hizi Hadithi zetu za JF?
 
Nautafuta sana huo Uzi. Alaf hauna siku nyingi, nadhani ni WA mwezi huu, kama sio uliopita. Muhusika ni kama anasema amekata tamaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…