Huu ni muonekano wa jengo la abiria la Kiwanja cha Ndege cha Mpanda litakapokamilika, gharama ya mradi ni takribani Tsh. Bilioni 1.4 na jengo litakapokamilika litakuwa na uwezo wa kuhudumia abiria 240 kwa wakati mmoja.
Mkandarasi amekabidhiwa eneo la mradi Machi 2023 na unatarajiwa kujengwa kwa mwaka mmoja na Kampuni ya Ujenzi ni Wesons Engineering Limited.
View attachment 2562194