Makapuku Forum

MAYELE ATIMKA KWAO
.
Kinara wa mabao Ligi Kuu, Fiston Mayele wa Yanga atakosekana kwenye mechi za awali za Kombe la Mapinduzi 2023 zinazoendelea visiwani Zanzibar, kwa vile ametimkia kwao DR Congo kwa ruksa maalumu.
 
Kambole, Yacouba hao Zanzibar
.
Lazarus Kambole na Yacouba Songne ni miongoni mwa wachezaji 25 wa Yanga wameelekea Zanzibar kushiriki mashindano ya Mapinduzi. Kwa mujibu wa taarifa ni pendekezo la Kocha Nabi akiwa na matumaini nyota hao wakionyesha uwezo ndio itakuwa tiketi yao kurudishwa kikosini.
 
Msimu huu Nonga mecheza dakika 40 tu kati ya mechi 19 za timu yake na habari za ndani ni kuwa huenda akapewa kazi kwenye benchi la ufundi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…