Makapuku Forum

Happy birthday auntie makiii
Mungu wangu azidi kukubariki kwa kila unachofanya, na kukupa umri mrefu zaidi uje kuona wajukuu zako
shunie mimi nakupenda sana
Makiwendo
Oooooooh!!!
Auntie jamani...

Ahsante Auntie kipenzi...
Na Iwe hivyo IJN....Mungu na anipe umri mrefu kwa kweli... nione watoto wa watoto wangu.

Nakupenda tu.
 
Bora jf mmeturudishia notification kwenye app jamani toka may mtu hupati notification mbarikiwe
Hivi kumbe hili suala lilikua ni kwa wote, nilifikiri ni mimi tu labda kuna sehemu nili bofya nikaharibu settings za app yangu
basi wamefanya la maana sana kweli leo ni siku kama ya 3 napata notifications zote za Jf kote niliko chungulia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…