Makapuku Forum

MFUNGAJI wa bao lililowavusha Yanga kwenye hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika, Stephen Aziz Ki hajarudi na wenzake kwa ruhusa maalum ya uongozi.

Nyota huyo amepewa ruhusa ya kwenda kwao Bukina Faso baada ya kufungiwa michezo mitatu ya ligi.

Yanga wametua mchana huu kutoka Tunisia kupitia Dubai na wanatarajia kwenda Mwanza leo saa moja usiku tayari kwa mchezo wa Jumapili dhidi ya Kagera Sugar.

 
Golkipa wa Manchester United, David De Gea ametemwa kwenye kikosi cha wachezaji 26 watakaoiwakilisha Hispania kwenye Fainali za Kombe Dunia Qatar 2022.

Magolkipa walioitwa ni Unai Simon (Athletic Bilbao), Robert Sanchez (Brighton & Hove Albion) na David Raya (Brentford).
 
Dah! Sio poa 😂
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…