Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,297
Africa sijui tunakwama wapi ndugu kiongoziAlisemaga pele kiwa timu ya africa itashinda kombe la dunia kabla ya mwaka 2000 lakini wapi.
Wanachoshundwa kutambua hawa watu ni kwamba tatizo la mpira africa sio ukosefu wa vipaji bali utawala mbovu katika soka.
Ske kila sector tunakwama tuu mzeya.Africa sijui tunakwama wapi ndugu kiongozi
Tatizo lingine Tunaishi nje ya uhalisia wetu kwa kujiona tuko Juu, kumbe bado tuko chini.Ske kila sector tunakwama tuu mzeya.
Viongozi wanaangalia maslai yao ya muda mfupi. Timu inaenda shiriki mashindano, msafara wa viongozi ni mkubwa kuliko wahusika wakuu.
Wee sii u aona waarabu walivyo wajanja....walishakubali kuwa mzungu ana akili kuliko wao ila wao waarabu wamebarikiwa mafuta. So haya mafuta yatatupa hela ya kuwaaniri hawa wazungu watujengee nchi zetuTatizo lingine Tunaishi nje ya uhalisia wetu kwa kujiona tuko Juu, kumbe bado tuko chini.
La kushangaza Mataifa yenye pesa kuliko sisi ayafanyi hivyo.
Karibu tena mdau, kitambo sana, ni furaha kuwa hapa kila wakatimlinzi lindoni, sijui ata nafasi yangu alikaimu nani. Afu pia nilikua mlinzi mzembe sana
kwema sana mdau, kitambo sana hakika na kila wakati ni furaha kuwa hapa.
Mimi apa
Mshedede sioTatizo lingine Tunaishi nje ya uhalisia wetu kwa kujiona tuko Juu, kumbe bado tuko chini.
La kushangaza Mataifa yenye pesa kuliko sisi ayafanyi hivyo.
Asante sana na karibu sanahongereni Makapuku kwa kutimiza views 12M it's not simple aisee. Wakati ule kipindi nipo very active magically walifika views 1M
Bravooo.
Haahha aiseee mrembo wangu...Mshedede sio
Jamani mjedaHaahha aiseee mrembo wangu...
Kumbe wajeda tuko kibao humuJamani mjedambona umekuwa adimu hivi