Makapuku Forum

Ndugu zako hawakupendi?
 
...hili jina litamsumbua hata kama hajalenga hadhira ya waongea kiswahili kama atataka kuwa kichwa ngumu. Kashindwa kufanya kile kinachoitwa linguistic screening ili kuondoa maana mbaya ya jina unalotaka kutumia kwenye biashara yako. Hatukatai controversy kwenye jina lakini sio iwe ya tusi, contraversy should be the right one sio ya kuondoa lengo zuri unalotaka kufanya.
Narudia tena naandika sababu ninajisikia nawe unaweza kuwa na tafasiri yako, inawezekana Naomi hajawalenga waongeaji wa lugha ya Kiswahili so asidhani cancel culture ikiamshwa na waswahili haitamuathiri
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dada wewe hupendi hela?

Mie ninayo nyingi sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nawaza huyo anayeongezewa damu yako masikini[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Hapana...hela zinanipenda zenyewe...

Kwamba unayo nyingi[emoji2]

Nilikuwa naenda kutoa Iende Bank ya Damu....zaidi sana mwenye angeipata Wueh!!!....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…