Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ninao wa unga kama kilo 3 sijui 4. Sijawahi utumia. Sasa mie damu yote hii ninywe tena lozera si itakuwa balaa[emoji134][emoji134]

Tuma hela nikutumie[emoji12][emoji12][emoji12]
Nyau wewe!!! Unapenda hela kama Wallet[emoji28]

Hiyo Damu uliambiawa ipo nyingi au unajisemea tu?

Nakumbuka kuna wakati nilienda ku'donate Damu bhana... nikijua damu imezidi.. Ile nafika wananichukua vipimo.. nikaambiwa sina damu ya kutosha[emoji848]... wakanielekeza vitu vya kuongeza damu.. Nilichoka.
 
Poleni
 
Back
Top Bottom