Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kama wataanza kuchukua waliofaulu vizuri tu basi na waanze kuwalipa vizuri sasa hakuna visingizio tena
...bantering mode activated: ufaulu mzuri ni nini? Ufaulu ni ufaulu, ufaulu mzuri kama maza alimaanisha madaraja sawa lakini kwani anashindwa nini kuwafanya wale wote wenye madaraja ya kwanza ya ufaulu kuwapeleka kuwa walimu?

Maana yangu, wote wenye division wani kali na zile 4.5-5 gpa (kama zipo) basi wapelekwe kuwa walimu.
 
Sure
 
....najua unaweza kwenda youtube na ukaangalia bila shida lakini kuna ubaya gani nikiweka hapa kukutakia wakati mzuri muda huu. Makapuku ni kama ufalme wa malkia, wakati wewe umelala, mwingine ni saa tano

....nilibahatika kupata mapumziko mafupi (iite likizo-na nililipwa) basi ndugu yenu nikaenda pale mji mkuu, first timer mimi nikaenda mitaa ya katikati nikaambiwa hebu twende pale Royal Village ukamwagilie roho na kuosha macho, hapo ni baada ya kuwa nimepata changamoto dish na nikaifurahia.
Nisikuchoshe lakini kulikuwa na live band siku hiyo na kibao hiki kikapigwa, napenda oldies lakini live ya hiki kibao ilikuwa ni suuzo la moyo na nimeona nikushirikishe na wewe likizo yangu ilikuwaje..
 
Back
Top Bottom