Makapuku Forum

Nimeisoma sehemu nikasikia mchozi wanitoka😀😀😀
Hakyanani ukapuku hauepukiki, kama tozo ya king'amuzi tu..yaani buku buku tunalia hivi...basi sisi ni makapuku Pro max😀😀

Tutahamia mikoani huko, tuwaachie barabara zao wapite na maving'ora yao...

Mambo wanatufanyia ni sawa na kumshindisha mtu njaa halafu unamwambia ajambe...
 
.....sahihi kabisa my dear.
Karibu sana Mtwara uangalie jiji ndani ya mji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…