Makapuku Forum

Wooooi!! Hii mbaya sasa, wanakataje hela sasa na wao[emoji134][emoji134][emoji134]
Waweke utaratibu tuwe tunapeleka marejesho voda shop[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lol! Kind like bank overdraft, nimeipenda but shida ni baadhi kusongesha zaidi ukitumiwa afukumi wanakata afusita uliyosongesha.

NB. Wakati kwenye overdraft hakuna interest, songesha nadhani wanatoza riba fulani.

Maslahi: sijaqualify kusongesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…