Atasusa huyo akiondoka kurudi dec sio leoWacha bwana!!
hahahaha,sisu shangazi sema c unajua si wengine wapole kdg.tunaogopa vya watuWe mzee usije ukasusa nakujua ebu kuwa na amani ukiwa na mimi
kweli?shangaziKweli we mzee nisikilize mimi
ananitisha,ananiitia wakubwaNiachie mzee wangu mtu chake
Uwe unawaagiza kuku 10 kila mmoja, ili tuuule mpaka tuvimbiwe.nikiwa mganga nitakula sana kuku zao na hela yaani
Atasusa huyo akiondoka kurudi dec sio leo
hahahaha
Hawezi, wanaume hawasusi bwana.
Duniani hapa hakuna cha peke yako we mzee labda umuumbe mwenyewe kwahiyo relaxhahahaha,sisu shangazi sema c unajua si wengine wapole kdg.tunaogopa vya watu
Yaani nimecheka ila sijaelewa nataka kueleweshwa zaidi
Hahaa we tuchote tu hapaDah! Na leo alicho nifanyia namtazama tu.. Kaniambia nimpe lift, nimejipinda nimeenda na kirikuu changu nimeweka na wese la buku ten, kanikalisha masaa matatu pale nje ya ofisi naota joto tu.. badae nikaona anatoka na Lexus LX 570.. yaani ila fresh tu
Nimekumbuka kuna mtu alikuambiaga we unaonekana mpole ila una dharau za chini chini!hahahaha,sisu shangazi sema c unajua si wengine wapole kdg.tunaogopa vya watu
Kweli we mzeekweli?shangazi
Halafu kumbe we mzee afande sasa afande gani wewe jamani muogaananitisha,ananiitia wakubwa
Uwe unawaagiza kuku 10 kila mmoja, ili tuuule mpaka tuvimbiwe.
Hawezi, wanaume hawasusi bwana.
Nahisi umeelewa ndiyo maana umecheka
Watu wa jf na vituko vyao daah
Nimekumbuka kuna mtu alikuambiaga we unaonekana mpole ila una dharau za chini chini!
Hivi ni kweli?
Ndio ndio kalumanzila shunietena nawaambia mniletee majogoo yale makubwa ndio yanakubali kafara na mchele na mafuta
Aiseeee!!humjui mzee mtu chake ataenda kushinda selfika au uzi wa usiku wa manane huku hajiii