Makapuku Forum

Mi sizikwi DSM ng'o.....kijijini ndio mpango
Mambo gani haya ya "kuamshana"

........
Zamani walikuwa wanachimba kimo cha kaburi mita tatu kwenda chini, siku izi ni mbili. Kwa maeneo yenye population kubwa ni mita moja.... Hii inamaana kuna maghorofa.....
Baada ya miaka 5..marehemu watakuwa wananing'inia, hakuna nafasi tena...
 
Mi nahudhuriaga sana tu mazishi....siku hizi vikaburi vifupi utafikiri wanapandikiza migomba

........
 
Zamani walikuwa wanachimba kimo cha kaburi mita tatu kwenda chini, siku izi ni mbili. Kwa maeneo yenye population kubwa ni mita moja.... Hii inamaana kuna maghorofa.....
Baada ya miaka 5..marehemu watakuwa wananing'inia, hakuna nafasi tena...
Hahahaha tunapoelekea watakua wanachoma tu afu majivu ndo yanaenda kuzikwa baharini au mtoni
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…