Makapuku Forum

Unaweka kindege tu au dnd sitakagi shida mimi kabisa huwa vinanihusu hivyo

Ila Auntie wewe hapana... una mbinu za kijasusi...

Mambo ya kindege
Weuh!!!! Umenikumbusha enzi za Ujana Mambo yalivyokuwa mengi....

Siku hizi na huu Uzeeee
Woiiii...Sina muda...Nina Rafiki yangu anasemaga ya nini kujitesa, simu yangu bado nipate nayo shida, mara silent, Simu inakaa imefunikwa muda wote... hapana....
Mimi ikipigwa napokea tu Auntie... Ila mazungumzo yatakuwa kwa utaratibu maalumu
Yale ya eeeeh!!!, aaaaah!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…