Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 May 21, 2016 #40,601 Linamo said: Leo umenikosha kwa kukubali Barca wazuri. Real wabovu.karibu mkuu wala usipate shida. Hao wengine wabovu lakini man u wabovu zaidi. Click to expand... Ndoto za mchana
Linamo said: Leo umenikosha kwa kukubali Barca wazuri. Real wabovu.karibu mkuu wala usipate shida. Hao wengine wabovu lakini man u wabovu zaidi. Click to expand... Ndoto za mchana
xavia jr JF-Expert Member Joined Jul 13, 2015 Posts 916 Reaction score 1,905 May 21, 2016 #40,602 niaaaje wadau
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 May 21, 2016 #40,603 Linamo said: Mbona unakuwa hivyo lakini Click to expand...
Szczesny JF-Expert Member Joined Apr 15, 2016 Posts 7,180 Reaction score 25,925 May 21, 2016 #40,604 youngblood said: Hahahaha. Kile kilikuwa kipindi cha mpito brother,now mambo yametunyookea wanafki wote tumewaacha midomo wazi. Click to expand... Eb muite aje athibitshe Cc Emmyguy
youngblood said: Hahahaha. Kile kilikuwa kipindi cha mpito brother,now mambo yametunyookea wanafki wote tumewaacha midomo wazi. Click to expand... Eb muite aje athibitshe Cc Emmyguy
Linamo JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,976 Reaction score 24,498 May 21, 2016 #40,605 Jimena said: Ndoto za mchana Click to expand... Kesho zitatimia
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 May 21, 2016 #40,606 Szczesny said: Teh teh Mattzo ya sukar haya, asubuhi ikabid apige bia tuu na maandaz aende bungen si kosa lake Click to expand... Kweli aisee...... Sukari hii, itatumbua wengi
Szczesny said: Teh teh Mattzo ya sukar haya, asubuhi ikabid apige bia tuu na maandaz aende bungen si kosa lake Click to expand... Kweli aisee...... Sukari hii, itatumbua wengi
Szczesny JF-Expert Member Joined Apr 15, 2016 Posts 7,180 Reaction score 25,925 May 21, 2016 #40,607 Linamo said: Alizaliwa kiangazi huyooo Click to expand... Uwiii Walo zaliwa kiangaz huwaj!!?
Linamo JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,976 Reaction score 24,498 May 21, 2016 #40,608 Th Name said: eti anasema Linamo anakidhi vigezo. Nikwambia andika na asiyeipenda Chelsea Click to expand... Kwani mie siipendi Chelsea???
Th Name said: eti anasema Linamo anakidhi vigezo. Nikwambia andika na asiyeipenda Chelsea Click to expand... Kwani mie siipendi Chelsea???
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,049 May 21, 2016 #40,609 Szczesny said: Teh teh Karatas mbili alisoma kama dakka 20 hvi, may b ana stress Ila may be ukosefu wa sukar ikabid apate beer brekfast Click to expand... alafu anasema huyu ni *rafiki yangu.*
Szczesny said: Teh teh Karatas mbili alisoma kama dakka 20 hvi, may b ana stress Ila may be ukosefu wa sukar ikabid apate beer brekfast Click to expand... alafu anasema huyu ni *rafiki yangu.*
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 May 21, 2016 #40,610 Linamo said: ndiyo maana zina milango na madirisha Click to expand... Mtu kaachwa mchana kweupeee ila anadai eti bado wako pamoja
Linamo said: ndiyo maana zina milango na madirisha Click to expand... Mtu kaachwa mchana kweupeee ila anadai eti bado wako pamoja
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 May 21, 2016 #40,611 youngblood said: Hahahaha. Kile kilikuwa kipindi cha mpito brother,now mambo yametunyookea wanafki wote tumewaacha midomo wazi. Click to expand... Maybe
youngblood said: Hahahaha. Kile kilikuwa kipindi cha mpito brother,now mambo yametunyookea wanafki wote tumewaacha midomo wazi. Click to expand... Maybe
Linamo JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,976 Reaction score 24,498 May 21, 2016 #40,612 youngblood said: Huyu kijana anaonekana ni mtoto wa Kitwanga kama vipi wewe endelea kumpetpet kinafki sisi tupige pesa. Click to expand... Lol si unaona wanavyopukutika na stress. Ngoja nione may b tutarithi chochote
youngblood said: Huyu kijana anaonekana ni mtoto wa Kitwanga kama vipi wewe endelea kumpetpet kinafki sisi tupige pesa. Click to expand... Lol si unaona wanavyopukutika na stress. Ngoja nione may b tutarithi chochote
PNC JF-Expert Member Joined Feb 3, 2015 Posts 8,105 Reaction score 14,356 May 21, 2016 #40,613 Jimena said: Napita tu, sijui kuna njia??? Click to expand... njia hakuna
Szczesny JF-Expert Member Joined Apr 15, 2016 Posts 7,180 Reaction score 25,925 May 21, 2016 #40,614 Jimena said: Kweli aisee...... Sukari hii, itatumbua wengi Click to expand... Umekunywa chai lkn Jimena!!?
Jimena said: Kweli aisee...... Sukari hii, itatumbua wengi Click to expand... Umekunywa chai lkn Jimena!!?
briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 May 21, 2016 #40,615 Linamo said: Umetoa siri.. Ayaaaaaaa Click to expand... Siri gan hyo, ya peterchoka au?
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 May 21, 2016 #40,616 Linamo said: Kwani mie siipendi Chelsea??? Click to expand... Sijamaanisha hivyo hahaha
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,049 May 21, 2016 #40,617 Th Name said: Analea wifi, pia namsaidia Click to expand... Analea nini tena . Aisee kweli niko nyuma.
Th Name said: Analea wifi, pia namsaidia Click to expand... Analea nini tena . Aisee kweli niko nyuma.
Szczesny JF-Expert Member Joined Apr 15, 2016 Posts 7,180 Reaction score 25,925 May 21, 2016 #40,618 youngblood said: alafu anasema huyu ni *rafiki yangu.* Click to expand... Hahaha Atakuwa alikuwa anatafta kutolewa kwa makusud tuu uyu
youngblood said: alafu anasema huyu ni *rafiki yangu.* Click to expand... Hahaha Atakuwa alikuwa anatafta kutolewa kwa makusud tuu uyu
Linamo JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,976 Reaction score 24,498 May 21, 2016 #40,619 Jimena said: Tutaitafuta mpaka ipatikane. Haina kukata tamaa Click to expand... Sikuhizi naiona tu kwenye taarifa ya habari za biashara. Imeadimika sana
Jimena said: Tutaitafuta mpaka ipatikane. Haina kukata tamaa Click to expand... Sikuhizi naiona tu kwenye taarifa ya habari za biashara. Imeadimika sana
PNC JF-Expert Member Joined Feb 3, 2015 Posts 8,105 Reaction score 14,356 May 21, 2016 #40,620 youngblood said: Huyu kijana anaonekana ni mtoto wa Kitwanga kama vipi wewe endelea kumpetpet kinafki sisi tupige pesa. Click to expand... Sio mchaga ila nimeishi uchagani
youngblood said: Huyu kijana anaonekana ni mtoto wa Kitwanga kama vipi wewe endelea kumpetpet kinafki sisi tupige pesa. Click to expand... Sio mchaga ila nimeishi uchagani