Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Polisi nchini Uganda walifunga barabara kadhaa jijini Kampala wakati mtoto wa Rais Yoweri Museveni aitwaye Muhoozi Kainerugaba akisherehekea siku yake ya kuzaliwa.
Muhoozi ni Luteni Jenerali wa Jeshi la Wananchi wa Uganda ametimiza miaka 48
Muhoozi ni Luteni Jenerali wa Jeshi la Wananchi wa Uganda ametimiza miaka 48