Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
Asante binamu na wewe piaHappy furahiday wanaJukwaa. Tuwe na wakati mzuri
Asante binamu na wewe piaHappy furahiday wanaJukwaa. Tuwe na wakati mzuri
Hiyo ni simu tunaita jeneza la kifahari mi nakutafutia simu tofaut ya zilizo zoeleka na watu wengiNasubiri uninunulie aifoni babe.
Asante mkuu kaz njemaaa na siku njemaHappy furahiday wanaJukwaa. Tuwe na wakati mzuri
HunieBabe
Eenh ameshalainikaAunt yako kashaanza kulainika?
Kwakweli kipenzi acha tu tule yaani kiufupi mambo mazuri mazuri na matamu nayapenda sana yaani niwe na hela nijitese hapana jamani maisha ni hayahaha na tunaishi mara mojaHahhaha tupo kundi moja aisee [emoji23] acha tu tujilie vitu vitamu .. maisha ni haya haya .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mweeeh!!
Wamemshindwa kabisa ila naona unamuwezaKwani wapo walio feli eeeh
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28]Nasubiri uninunulie aifoni babe.
Asante binamu na kwako piaHappy furahiday wanaJukwaa. Tuwe na wakati mzuri
Kama simu gani etiHiyo ni simu tunaita jeneza la kifahari mi nakutafutia simu tofaut ya zilizo zoeleka na watu wengi
Hahaha nitatumia utaratibu wa kwetu tutaelewana tuWamemshindwa kabisa ila naona unamuweza