hahahahaha. Shangazi si unajua mjini hpMmh we mzee na dini za watu tena
Hizi ajali sasa uwiih! Mungu ingilia kati tutetee [emoji17]• Busi la Kilimanjaro Express limepata ajali eneo la Msata mkoani Pwani leo Jumatano Aprili 20, 2022.
Bado hakuna taarifa za vifo wala majeruhi zilizoripotiwaView attachment 2194798
Asante we mzee kwa kusubiri
Mungu atusaidie tu kwakweliHizi ajali sasa uwiih! Mungu ingilia kati tutetee [emoji17]
Ni mrembo kwangu tuAuntie yangu kawa mrembo nyieeee
YesKibaha tena. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa nimesha Lipa kupitia TIGO PESATayari Mndali....
Miembe saba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] itakuwa picha ya ndege tu
Furaha ipatikane siku zote za uhai wakoYaani hii familia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na mji umepewa auntie safi sana yaani nacheka mimi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Auntie yangu kawa mrembo nyieeee
Arsenal hii hii au[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Acha watuue tu, si wameamua.Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema ameziona video fupi kuhusu maduka ya dawa ambazo zinaonesha baadhi ya wauzaji wa dawa wakihojiwa kuhusu dawa na kuonesha kutokuwa na ujuzi wa kuzitambua dawa hizo kiundani.
Ummy amesema "Nawashukuru walioibua hili, ni kweli hii changamoto ipo, ninaliagiza Baraza la Pharmacy Tanzania kutimiza wajibu wao kikamilifu ikiwemo kuchukua hatua maramoja na kuhakikisha maduka ya dawa yanaendeshwa kwa mujibu wa sheria na kanuni"
View attachment 2194780
Wafanye uchunguzi na bongo, wale watu wengi sio wazima.Mkuu wa huduma ya kitaifa ya Polisi nchini Kenya Inspekta Jenerali Hilary Mutyambai amesema takribani Maafisa 2,000 wa Polisi wa Kenya wana matatizo ya afya ya akili na kwamba hawana uwezo wa kiakili wa kufanya kazi yao.
Amesema wamebaini jambo hilo la kushangaza baada ya kuwafanyia uchunguzi wa kimatibabu Maafisa wote wa Polisi, Kenya ina Maafisa 100,000 wa polisi wanaofanya kazi chini ya Huduma ya Kitaifa ya Polisi ambapo ripoti hii inakuja huku kukiwa na ongezeko la idadi ya matukio ya Polisi kujiua kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo msongo wa mawazo.
Mutyambai amesema shughuli ya kuwaondoa kazini baadhi ya Polisi hao wenye matatizo ya afya ya akili imeanza kwa kuzingatia umuhimu wa kuwa na Polisi walio sawa kiakili "Zana yetu ya kazi ni bunduki na risasi moja inapopigwa madhara yake ni makubwa"
Siku za hivi karibuni Kumekuwa na wasiwasi unaoongezeka juu ya afya ya akili ya Polisi ambapo Serikali ya Kenya imeanza kulishughulikia hilo kwa kuanzisha Bodi ya Kitaalamu ya Afya inayojumuisha Washauri na Madaktari wa akili walioidhinishwa na Wizara ya Afya kutoa huduma za afya ya akili.View attachment 2194794