Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,868
- 183,156
Njema sana.Njema habar ya kuwajibika kwa ujenzi wa taifa
Njema sana.Njema habar ya kuwajibika kwa ujenzi wa taifa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] simjui, ni nani?Wewe tekno hamuwezi wizkid wewe.. Kwanza unamjua konde booy..
[emoji23]
Mwee kina nani hata sijaona notifications jamani [emoji3064][emoji3064]Ni jana sijui juzi ulikuwa unauliziwa hapa na mama zako. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kichwa kama mpira.He he he he he
Sawa.Simfahamu kijiji hiko, ukitoka kahama, kagonhwa kisha ndio simfahamu.
[emoji85]
Waooooh kumbe garama za kwenda nchi za watu zimepungua kabisaNami niko Malawi mbona
Pata ile big kabisa nakuja kulipaNakunywa Pepsi Mkuu....
600 tu Bei mpya[emoji2]
Asante mkuuNjema sana.
Na mimi nipate nini?Pata ile big kabisa nakuja kulipa
Mi najua we ni mrembo wa kiwango cha juu kabisaMbona mrembo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Karibu sana.
Wewe chagua chochote upendacho bill kwanguNa mimi nipate nini?
Wacha bwana!!Mi najua we ni mrembo wa kiwango cha juu kabisa
Awwww! Tuma na ya kutolea.Wewe chagua chochote upendacho bill kwangu
NdiooooWacha bwana!!
Hamna shida na tozo kabisa natumaAwwww! Tuma na ya kutolea.
Basi nasubiri.Hamna shida na tozo kabisa natuma
Hilo liko ndan ya uwezo wangu
Sawa mkuuBasi nasubiri.
Haha miss you too mama wala hata msitegemee lolote mi nipo nipo tu [emoji23][emoji23]Miss you Jamani!!!...
Huo ukimya wote tutegemee nini Mwanangu?
Konde boi fo everibodi humjui.. Mzee wa koh! Koh! Koh!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] simjui, ni nani?
KunguniSawa.