Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ukraine imepokea ndege za kivita kutoka Marekani kwa ajili ya kujilinda katika uvamizi unaofanywa na Urusi nchini humo.

Msemani wa Wizara ya Ulinzi ya Marekani John Kirby amesema kwa sasa Ukraine ina ndege zaidi za kivita ikilinganishwa na wiki mbili zilizopita.

Kirby lakini hakutoa maelezo zaidi kuhusiana na zilikotengenezwa ndege hizo au muundo wake, Rais wa Ukraine Volodomyr Zelenskiy alikuwa ameitaka NATO kutuma msaada wa ndege za kivita nchini humo.

Wakati huohuo Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau amesema nchi hiyo itaipa msaada wa silaha nzito za kijeshi Ukraine kufuatia wito wa msaada uliotolewa na Rais Zelenskiy.View attachment 2194112
Marekani anatumia nafasi hii kupambana na mrusi kupitia mlango wa nyuma.
 
Back
Top Bottom