Sitaki binamu offer zako...wewe sasa ndiyo ndugu yangu wa kweli, nilijua tu watu walitaka kunichonganisha nikose mambo mazuri. Kinywaji unachokunywa ongeza na kingine kwa gharama zako
Aroooooooh!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ata ukisema mchanga ni sukari anko atalambaaa wala usiwe na shaka wakikuita nyau atajiita pusiiii
HallelujahAmen Aunty akee mimi...
Mwaka umekuja na baraka nyingi sana huu..
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]Ndo nashangaaaa...katiba yetu ya ukoo haibariki hicho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siku ya kwanza nilimwambia aweke magazeti sijui aliendelea au aliishia yaani hata simu kushika nilikuwa sitakiHapa alipotea kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
Nikasema haya si mapenzi ni mahaba[emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23]....nyau yaani paka au anafuga paka ? au anapaka wake?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] achana na mapenzi auntie[emoji2][emoji2][emoji2]yako na Ufala Mob!!!
Shwaiiiiin
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
He he he....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii naiprint niweke kwa akiba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mimi kabisa nikasema nitaweza kutoa mahari!!!? Mimi huyu huyu kweli? Kwa kweli nahitaji uangalizi kama nilisema maneno haya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha nilale tuAta ukisema mchanga ni sukari anko atalambaaa wala usiwe na shaka wakikuita nyau atajiita pusiiii
Sanaaaa enjoy tu auntie maisha ndio hayahayaAcha tu Auntie...
Kupendwa unapopendwa raha sana..
Na'enjoy nyie!!!
Hayo ndio mapenzi auntie mapenzi ya drama ya nini watu tushakuwa wazeeHalafu Uncle yuko na yale Mapenzi ya kikubwa..
No drama...[emoji2]
Aliweka wapi Auntie.? Panda mlima uone Uhuni aliotufanyia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siku ya kwanza nilimwambia aweke magazeti sijui aliendelea au aliishia yaani hata simu kushika nilikuwa sitaki
Nakuelewa auntieSanaaa Shem..
Kuna ile feelings hakuna mtu anaeza elewa..
Mapenzi shenzii sana...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] achana na mapenzi auntie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usiniambie auntie magazeti hajawekaAliweka wapi Auntie.? Panda mlima uone Uhuni aliotufanyia[emoji23]
Pole Aunty akee.. utakuwa sawa..
Imagine Auntie..Hayo ndio mapenzi auntie mapenzi ya drala ya nini watu tushakuwa wazee
[emoji23][emoji23][emoji23]Lee hafai.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usiniambie auntie magazeti hajaweka
Niliweka mbona babe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usiniambie auntie magazeti hajaweka