Matokeo ya polisi na makolo ngapi ngapi? maana wengine tuko porini huku hakuna mtandao so atujapata matokeoWakati Ligi ya NBC msimu huu [2021|22] Polisi Tanzania ilishaongoza Ligi, lakini taratibu timu imekuwa ikitoka kwenye nafasi za juu na sasa hivi ipo nafasi ya tisa (9) ikiwa na alama 23 sawa na KMC.
Kocha Msaidizi wa Polisi George Mketo ameeleza sababu ambayo inewafanya kushindwa kubaki kwenye nafasi ambazo walikuwa wamejiwekea malengo.
“Ligi sio nyepesi ligi ni ngumu, kwa namna ambavyo tulianza mwanzo, tulitarajia kuendelea hivyo na ndio malengo yetu. Malengo ya timu na Jeshi kwa ujumla ni kumaliza katika nafasi tatu za juu na malengo hayo bado yapo.”
“Kwa nafasi tuliopo na wale ambao wapo juu tofauti ya pointi ni chache kama tatu au nne. Naamini kwenye michezo iliyobaki tutapambana ili turudi kwenye nafasi tatu za juu.”View attachment 2181132
WanaJF inatakiwa tuonane jamani
Siyo kwa ubaya bali kwa mema tu tupange ratiba ya kuonana hata Mara mbili kwa mwaka. Tunaonana kwa ajili ya kufurahi, kubadilishana mawazo, kubadilisha mazingira, kupeana michongo na vingine vingi visivyo na madhara. Tusibaguane wala kuweka matabaka Mali ni zetu lakini uhai si Mali yetu bas...www.jamiiforums.com
Mmh jamaniMatokeo ya polisi na makolo ngapi ngapi? maana wengine tuko porini huku hakuna mtandao so atujapata matokeo
Miss you more auntie
He heWanaJF inatakiwa tuonane jamani
Siyo kwa ubaya bali kwa mema tu tupange ratiba ya kuonana hata Mara mbili kwa mwaka. Tunaonana kwa ajili ya kufurahi, kubadilishana mawazo, kubadilisha mazingira, kupeana michongo na vingine vingi visivyo na madhara. Tusibaguane wala kuweka matabaka Mali ni zetu lakini uhai si Mali yetu bas...www.jamiiforums.com
Tupo hapa NasMakapuku
Asante binamu yangu na kwako piaWiki la Pasaka hili na ninakutakia maandalizi mazuri ya sikukuu. Happy Easter week Makapuku Forum