Juzi mchungaji alivyokuwa anafundisha akasema roho Mtakatifu anaumbua.
Mara unajichanganya unakosea madesa
Badala ya kutuma huku unatuma huku.
Umetumute status ili tusione..
Nikasema heri yangu mm najioostiaga tu mipira yangu na meme na Wala simute mtu.