Makapuku Forum

Kicheko kimenibana hapa hatari...
Ngoja nikachekee chooni
depression is real jamani!ndo maana watu wanakufa eti loneliness!!!
Kweli tena!ukicheka dhambi,kununa dhambi,sasa humu everbadi anachangia sasa anti wa shunie nikicheka nakoseaa!!

Hakuna ubaya kama kumkalia kimya mjingaa!!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Kabisa..
Narudia mara nyingine tena..Rudi Selfika au nenda kwa Rikiboy

Hapa nonavyokujua wewe...kwa sasa Hapakufai...
 
Kabisa..
Narudia mara nyingine tena..Rudi Selfika au nenda kwa Rikiboy

Hapa nonavyokujua wewe...kwa sasa Hapakufai...
Hahahaha!!usijali nimepoa mbona naangalia episode ya 200000 ya sesona 20000000000!!
Mimi huyu sina la ajabu humu afu sina siri hata moja !!!yaani vingine mtu aweza jua ni siri kumbe vya kawaida

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Niache tafadhali
Hahaha!nakua mpole maana kuna mtu namheshimu sana na kuniamini sasa Mimi nikiongea ntaongea kwa ushahidi afu mambo yatakua meusi sasa!!
!!!afu Id yenyewe naijua
shoga kumbe anajifanyaga mtuu!!kumbe mnaafiki na I'd 2,Leo mwanaume kesho mwanamke

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…