Haya poleSurprise surprise makapuku kumbe mnasubiri Dart??? Mpaka sasa hivi mpo wapi? hahaha mimi bibi nipo nilikuwa nawasoma. Nilikuwa naumwa meno ila moja limefanyiwa root carnal bado mawili hivyo siji huku kucheka nisijeumwa zaidi. Ciaoooo. Miss you my kapukus.
Hataree, hahahaSukari imekuwa adimu kama wa mchangani alivyokosa ubingwa kwa miaka minne
Mimi nimesema tuHataree, hahaha
Ila hapo kuna watu una watafuta sasa
Nawe pia shemNawatakia usiku mwema wapendwa.
Poa shem.Nawe pia shem
Mapema sana kakaNawatakia usiku mwema wapendwa.
Uko busy au kuna janga ?Nawatakia usiku mwema wapendwa.
Niko busy kiaina brother, lakini soon nitarudi.Uko busy au kuna janga ?
........
Shem siku hizi unawah kulala.Poa shem.
Sukari bado imekuwa ishu.Mapema sana kaka
Shem siku hizi unawah kulala.
Mpe hi anaekufanya uwahi kulala
usiwaze shemeji.Baadhi ya maeneo tuSukari bado imekuwa ishu.
Ndo laifuNiko busy kiaina brother, lakini soon nitarudi.
Nawamiss sana.
Huku kwetu bado ni majanga brother.Baadhi ya maeneo tu
Hahah, youngblood ana ratiba za kitata ni hatareeMapema sana kaka
Uko busy au kuna janga ?
........
Kweli Mkuu.Ndo laifu
Samtaimu linabana
...........