Iko poa kabisa. Vipi kwa upande wako?Salama kaka
Wikend vip kwako
Wifi yako ndo muuza nyanya K/koo nilienda kumsaidiaUsikose kutununulia kununulia matunda
Mi mbungi mkuuuIko poa kabisa. Vipi kwa upande wako?
Duuuh unatafuta ya mwezi mzima auMi mbungi mkuuu
Ndo natoka kutafuta sukari apa
Mi naiweza sanaaaaMaisha yamekua magumu sana
Sumbai katika ubora wakoWewe sio MTU??? Si upo hapa....zamu yako
Kaka upo???Hahahaha
CheersWeekend leo..
Watu wanapata lite ya baridiii![]()
Nipo Dada. Za weweKaka upo???
Njema kabisa.... Kama kawaida tunalisukuma gurudumuAsante Jimena
Missed you mnoooo
Uko njema lakin!!?
Nisubiri twende woteNapita tu