Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mkuu....karibu chai
Aiika mbee! Hyo kitu me naisikia tu kwa watu mwendo wa town ni
1463762939469.jpg
 
Surprise surprise makapuku kumbe mnasubiri Dart??? Mpaka sasa hivi mpo wapi? hahaha mimi bibi nipo nilikuwa nawasoma. Nilikuwa naumwa meno ila moja limefanyiwa root carnal bado mawili hivyo siji huku kucheka nisijeumwa zaidi. Ciaoooo. Miss you my kapukus.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom